# SCIENCE @ BIOLOGY FORM 1.FAHAMU KUHUSU CELL ZA MWANADAMU(ANIMAL)

UTANGULIZI

Sasa ni muda wa masomo ya sayansi.Seli ni nini je wafahamu kuhusu seli, muundo wake je?.Mimi nafahamu wewe je?.Pata kufahamu  muundo wa seli(animal) kwa kutumia video karibu sana

KIINI

Majawabu ya maswali yako hapo juu unaweza kuyajibu baada ya kujifunza kupitia video hii.Karibu ujifunze kwa urahisi usikubali kujifunza hewani bila kutazama unachofundishwa karibu.....



HITIMISHO

Je, umepata maarifa gani kupitia video hii.Toa maoni yako.Tembelea blog hii kwa  kujifunza kupitia video mbalimbali za masomo. Asante karibu tena

Maoni