PATA FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO HAPA

UTANGULIZI

Usihangaike wala kuumiza kichwa sasa waweza kupata join instruction hapa .Mmmh! naona unafikiri utaipataje eeeh! .Kwa majibu sahihi ambatana nami:-

KIINI

Kuweza pata join instruction(fomu ya kujiunga kidato cha tano) .Bofya hapa chini


 NB: Ukifungua angalia walipoandika fomu za kujiunga kidato cha tano 2018 Tanzania bara.

HITIMISHO

Pata fomu ya kujiunga kwa urahisi sana .Endelea kutembelea  blog hii na channel ya soma kidigitali YOU TUBE kwa kuendelea kupata habari motomoto kuhusu masomo ya sekondari,michezo ,chuo n.k

Maoni