# NI NYIMBO GANI ZITAIMBWA LIVE KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018?

UTANGULIZI

Hi! habari ya dunia sasa ni kombe la dunia huko nchini Russia 2018.Bado siku chache sana kuelekea kombe la dunia. Mimi na wewe je tumejiandaa  vyema kutazama kombe hili? na ni nyimbo zipi zitaimbwa live katika ufunguzi wa kombe la dunia. Ungependa kuzijua rafiki?

KIINI

Pata kujua nyimbo kali mpya na waimbaji mashuhuri katika nyimbo hizo kama vile Jason Derulo,Diamond Platnumz na wengine kibao tazama hapa chini taratibu uburudike.







HITIMISHO

Jamaani raha sana natamani sana mwenyezi Mungu atuwezeshe kufika siku hiyo ili tushuhudie kombe la dunia Russia 2018.Je,nyimbo zimekuburudisha endeleaa kutazama blog hii kwa habari moto moto kuhusu kombe la dunia.

Maoni