# MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2018

UTANGULIZI
Kwa sasa si siri tena kwani majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano yametoka rasmi na si uzushi.Je,wapenda kufahamu umechaguliwa shule gani na ni tahasusi(combination) gani?.Ambatana nami ni kujuze zaidi....

KIINI

Majina yanapatikana kwa urahisi sana kama utazingatia hatua muhimu zifuatazo:-
  1. Tafuta search engine uipendayo yaani google ama fire fox,safari n.k
  2. Andika TAMISEMI
  3. Tafuta kwenye matangazo orodha ya waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2018
  4. Kisha andika namba ya mtihani kupata jina lako kwa urahisi.

Waweza pata hapa kwa urahisi sana yaani  bofya http://www.tamisemi.go.tz

HITIMISHO

Kwa taarifa zaidi kuhusu masomo ya sekondari,michezo na habari za vyuo tembelea blog hii pia tembelea channel you tube kwa kuandika soma kidigitali.

Maoni