# MAGOLI 31 BORA YA TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA 2018

UTANGULIZI

Kufuzu katika kuwania kombe la dunia si kazi ya mchezo kwa ukweli timu zilipambana kuhakikisha kuwa zinafanikiwa katika kuingia kombe la dunia katika nchi ya Russia mwaka 2018.Kwa kutumia uwezo binafsi na wa vikosi husika bila kusahau rasilimali walizonazo wamefanikiwa kutinga katika michuano ya kombe la dunia. Hongereni.


Timu zilizofuzu kuwania kombe la dunia 2018

KIINI

Sasa waweza tazama magoli bora kuliko yote yaliyofungwa na timu zilizofuzu kuwania kombe la dunia 2018.Naam!  naona unashauku  kubwa sana ya kutazama basi tazama hapo chini karibu....


HITIMISHO

Timu zilizotinga kuwania kombe la dunia zimeonesha uwezo wake haswa.Swali la kujiuliza mimi na wewe ni kwamba je, ni timu gani itakayoweza kuchukua kombe la dunia 2018 ?.Toa jibu lako kwa kuandika maoni yako katika post hii.Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa moto moto za michezo na nyinginezo. Karibu tenaaa.


Maoni