# KIJUE KIKOSI CHA SPAIN KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018

UTANGULIZI

Spaini ni nchi maarufu katika ulingo wa kandanda kwa mashabiki wa soka miongoni mwa ligi pendwa na zinazofuatiliwa kwa ukaribu duniani kamwe huwezi sahau ligi ya Uhispania hata kidogo.Hakuna anayebisha kuwa  kikosi cha hispania ni miongoni mwa kikosi bora katika kombe la dunia wameshawahi chukua taji la kombe la dunia hivi karibuni.Endelea....

KIINI 

Leo ningependa kukufahamisha mambo mawili ambayo huyajui au wayajua kuhusu timu hii ambayo ni kwanza kikosi cha hispania Russia 2018 na mwisho namna ambavyo walivyofanikiwa kuingia katika kushiriki kombe la dunia kwa magoli 36.Aiyaah !, naona unahamu ya kujua ungana nami kwa kutazama katika video hizi mbili ushuhudie mwenyewe kwa kubofya kitufe chekundu katikati ya video hizi hapa chini........tada! tada!.....




HITIMISHO

Hakika kikosi cha hispania kimejipanga vyema kuchukua kombe la dunia 2018  kwa kutumia wachezaji kama Isco na wengine nguli wengi.Wewe unaonaje watachukua taji? .Usisite toa  maoni yako .Kamwe usisahau kutembelea blog hii kwa habari kedekede..

Maoni