# Jifunze Namna Ya Kuangalia Video Ya You tube Yenye HD(Ubora)

UTANGULIZI

Napenda kuangalia video you tube sana, Je, wewe unapenda kuangalia video za You tube?.Mmmh! ni vizuri kuangalia video za you tube lakini zenye HD.Unajiuliza nitaangaliaje?.Ambatana nami.

KIINI

Kuna mambo 3 ya muhimu ya kuzingatia ili uangalie video zenye ubora you tube ambazo ni:-
  1. Ingia You tube kisha chagua video uipendayo
  2. Kisha kwenye video hapo upande wa kulia kuna kitufe cha setting bofya hapo
  3. Kisha  bofya walipoandika quality halafu chagua hd uitakayo.
Kupitia video hii waweza jifunze namna ya kuangalia video ya you tube yenye HD.Bofya kitufe chekundu hapo katikati kutazama


HITIMISHO

Woow! ni rahisi sana usibakie nyuma kwa kutazama video isiyo na Hd sasa waweza ifanya mwenyewe iwe na HD kwa urahisi.Endelea kutembelea blog hii pia you tube channel ya soma kidigitali uhabarike kuhusu michezo,masomo ya sekondari,technolojia n.k usikose kusubscribe/share/like

Maoni