# JIFUNZE MMENG'ENYO WA CHAKULA KWA MWANADAMU @ SCIENCE BIOLOGY FORM 2

UTANGULIZI

Chakula ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu kwa maisha yake yote duniani.Binadamu akikosa chakula kwa muda mrefu husababisha kudhoofika kwa afya ya mwili kwa kushambuliwa na magonjwa na aghalabu kupoteza maisha.Wafahamu nini baada ya wewe na mimi kumaliza  kupata chakula? kipi kinaendelea katika mwili wako?.Sogea karibu ni kufahamishe.....

KIINI

Baada ya mimi na wewe kupata chakula chakula hupitia katika mchakato  huitwao mmeng'enyo wa chakula.Ambatana nami kujionea namna mchakato mzima unavyokuwa kupitia video hii karibu uelimike bofya kitufe chekundu hapo katikati ...tada! ....... tada!!!!!!!
                                                          ⇩
                                                 
                                                           ⇩⇩


                                                            

HITIMISHO

Darasani kwako umejifunzaje ? au umejifunza kinadharia tu kwa kukariri bila kuona ?.Mmmh ! usikose kutembelea blogi hii ili ujifunze masomo ya darasani ya sekondari kwa njia ya video.Siku zote daima tembelea⇓ somakidigitali.blogspot.com  .Asante sana.

Maoni