# JIFUNZE AINA ZA MANENO @ KISWAHILI -KIDATO CHA KWANZA.

UTANGULIZI

Lugha ya kiswahili ni lugha inayokuwa kwa kasi duniani ikichipukia katika upwa wa Afrika Mashariki yaani Zanzibar(Tanzania) na Mombasa (Kenya) na sehemu nyingine za upwa wa Afrika Masharikiki.Leo hii lugha hii inawazungumzaji wengi dunia si Tanzania tu bali Bara la Afrika nzima na ulimwengu kwa ujumla yaani Marekani,China ,Germany,Kanada kiswahili hufundishwa.Kwa sasa ningependa tujifunze kuhusu AINA ZA MANENO katika lugha ya kiswahili ungana nami.

KIINI 

Unaweza jiuliza hivi neno au maneno nini? , je, kuna aina ngapi za maneno na ni zipi?.Ewaah! jamaani nirahisi sana kwa kufahamu yote haya leo tutajifunza kupitia video hii fuatana nami bofya  cha katikati katika video hii ujifunze vizuri kwa umakini......


HITIMISHO

Jambo la rafiki je? umeweza kujifunza vizuri?.Mada hii ni mahususi kwa kidato cha kwanza na pia hufundishwa kidato cha tano katika mada ya sarufi ya kiswahili.Asante kwa kuchagua blogi hii usikose kujifunza masomo ya kiswahili kwa kutumia video tembelea blogi hii.

 

Maoni