JE,WAJUA MPANGILIO WA UDONGO(SOIL PROFILE)?


UTANGULIZI

Udongo ? udongo(soil)? . Yeah! ndio udongo nikikuuliza rafiki udongo ni nini unaelewaje?......... nasubiri jibu lako?.Waooh ! naona unafikiriaa ???.Okay jibu ni rahisi udongo(soil) ni sehemu ya juu kabisa ya uso wa dunia ambayo inasaidia  katika kuendesha maisha ya binadamu na mimea .Hata hapo ulipo upo juu ya udongo yaani umekanyaga udongo unakusaidia kufanya unachofanya ambazo ni shughuli nyingi kama vile kusoma,kulima,viwanda na kadhalika. Mada hii hufundishwa form 4 na 5.

KIINI 

Kaa karibu ambatana nami katka kujifunza namna ardi inavogawanyika kuanzia hapo juu ulipo kanyaga mpaka chini.Kutimiza ndoto hii utajifunza kupitia video hizi hapa chini bofya kitufe chekundu  katikati ya video kujifunza telemuka chini..........................




HITIMISHO

Ehee! umejionea mwenyewe  zipo katika layer ngapi? je?,ni nne(4) au sita (6) , Darasani mmejifunza ngapi? . Usisite kutoa maoni yako  karibu tena utembelee blog hii  ya vipindi vya darasani kwa kutumia video mahususi karibu.

Maoni