# JE WAFAHAMU KIKOSI CHA BRAZIL KOMBE LA DUNIA 2018?

UTANGULIZI

Bara la Amerika ya kusini ndipo timu maarufu duniani hupatikana yaani nazungumzia kikosi cha Brazil katika nchi yenye fukwe maarufu na kubwa duniani.Brazili ni timu kongwe na si kongwe tu yenye ushindani na si  yenye ushindani tu ni kikosi kilichowahi kuchukua taji la kombe la dunia.Unaposikia kuhusu kikosi cha Brazil washabiki hawasahau kutaja jin la Neymar mchezaji nyota toka nchi ya Brazil......

KIINI

Si Neymar pekee ambaye anaunda kikosi cha Brazil bali kuna wachezaji nyota na chipukizi wengi sana yaani katika  nchi ya Brazil wachambuzi wa soka wanadai kuwa huko ndio mpira ulikozaliwa au kuanzia .Je ,wataka kufahamu kikosi cha Brazili kinaundwa na wachezaji gani? .Woow! usitoke katika blog hii tazama katika video hizi ufahamu bofya katikati ya kitufe chekundu hapo chinii..... ti! .....ti! kilaiiiiniiiii!!



HITIMISHO
Umeona kikosi hicho na je,unatabiri nini kwa kikosi hiki cha Brazil Russia 2018 .Je, watachukua kombe?.Toa maoni yako.Karibu tena katika Blog hii somakidigitali.blogspot.com kwa habari nyingi za michezo,elimu ya sekondari na vitu vingi vingi karibuuuuuuuuuu!

Maoni