#Je? unaelewa nini kuhusu virus? @ Science Biology Form 1

UTANGULIZI

Karibu tena katika mfululizo wa masomo ya sekondari kwa njia ya video.Kama ilivyowadia kwa siku ya leo kipindi chetu kimejikita katika somo la Biology katika mada ndogo ya Virus inayofundishwa kidato cha kwanza(1).Virusi ni nini, aina au mgawanyo wa virusi ukoje??.Kufahamu yote haya fuatana namiiiiii.........

KIINI

Yeah! majibu yake ni rahisi sana kabisa fuatana nami ujifunze kuhusu virusi kupitia video hii maalumu ya Virusi.Unachotakiwa kufanya tafuta sehemu nzuri kaa tulia,chukua kalamu na karatasi kisha bofya katika ya video hii kwenye kitufe chekundu ili utazame.



HITIMISHO

Waooh! umejifunza nini rafiki hapo je umeelewa kuhusu virusi???.Kwa video nzuri kabisa za masomo endelea kutembelea blog hii kila siku ujionee kwa vitendo masomo mbalimbali usibaki  nyuma kujifunza kinadharia!!!! kwenye makaratasi ubaoni.Cha kufanya jisajili ili uendelea kuelimika katika blog hii na soma kidigitali You tube.Karibu sana.

Maoni