# ITAMBUE MISINGI YA DEMOKRASIA YA KWELI @ ARTS -G.S (CIVICS)

UTANGULIZI

Demokrasia ya kweli huliliwa duniani kote  ili kuleta amani,haki na usawa kwa wanadamu. Je, demokrasia ni nini ? chimbuko lake ni wapi na je, kuna aina ngapi za demokrasia?.Ni maswali ambayo najua yanagonga kichwani kwako ukitamani kufahamu kwa undani wake.Yeah! fuata nami katika somo hili la leo......              ............

KIINI

Mada ya demokrasia huanza kufundishwa O'level na mwendelezo wake hufundishwa kidato cha tano(5) katika mada ya Demokrasia.Kujifunza juu ya demokrasia tazama video hizi kwa kina cha kufanya chukua kalamu na karatasi bofya kitufe chekundu katika video hizi hujifunze..




HITIMISHO
Na huo ndio mwisho wa kipindi cha leo katika somo la G.S kumbuka mwisho wa kipindi hiki ndio mwanzo wa vipindi vingine katika blog hii.Lakini ngoja ni kuulize umeelewa somo vizuri,je ukitathimini hapo ulipo nchini kwako je kuna demokrasia ya kweli?.Hey! ni swali tu.Tembelea blog hii kufuatilia masomo mengine kwa njia ya video. Asante.

Maoni