# INCREDIBLE KINGDOM MONERA @ FORM 1

 UTANGULIZI

Karibuni tena katika blog hii leo tutaendelea na mfululizo wa masomo ya elimu ya sekondari kwa njia ya video.Karibu sana endelea kunifuatilia ufahamu leo tunajifunza nini???

KIINI

Kwa kipindi cha sasa tutajifunza somo la biology .Wajiuliza ni mada gani sasa?.Jibu rahisi utajifunza mada ya KINGDOM MONERA ambayo inafundishwa kidato cha kwanza katika elimu ya sekondari .Basi tuendelee sasa somo hili utajifunza kirahisi kupitia video hii kirahisi kwa kubofya kitufe chekundu hapo katikati. 


HITIMISHO

Bakia katika blog hii ujifunze masomo ya sekondari kwa urahisi uachane na kusoma kinadharia tu.Karibu sana soma kidigitali.blogspot.com

Maoni