Ijue Website Bora Zaidi Kwa walimu Wa Hesabu Na Wanafunzi 2018

UTANGULIZI

Hesabu ni somo zuri sana linaloendesha maisha ya mwanadamu katika kila analolifanya  katika maisha yake yote yametawaliwa na Hesabu yaani kula, kutembea,Kutafuta fedha n.k.Ukiulizia somo la Hesabu shuleni utasikia wanafunzi wakisema ni somo gumu sana.Binafsi sikubaliani na msemo huo kwani katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia waweza jifunza hesabu kupitia website kirahisi kabisa .Je, unajihoji ni kwa namna gani?.Ni rahisi ambatana nami ili ujue

KIINI

Sasa waweza kujifunza hesabu katika mada yoyote ile kupitia cymath.com kwa kuzingatia haya:-
  1. Chapa cymath katika search engine yaani google n.k   http://www.cymath.com 
  2. Ikifunguka website hiyo bofya kitufe cha chagua mada uipendayo
  3. Halafu andika swali ulipendalo halafu search tena
  4. Baadaye website itakuonesha njia na jibu
  5. Ni uamuzi wako kushare au kunyamaza tu baada ya kupata jibu lako.Tazama video hii kujifunza


HITIMISHO

Jaribu ujifunze kwa urahisi hesabu hapo hapo ulipo .Tembelea blog hii kwa habari za masomo ya sekondari share /like /subscribe hapa pia tembelea You tube channel ya Soma kidigitali uelimike

Maoni