# IJUE TIMU YA KWANZA KUWASILI RUSSIA KOMBE LA DUNIA 2018

UTANGULIZI

Hongera!  sana Iran kufika Russia kama timu ya kwanza inayotarajia kushiriki mashindano pendwa duniani kombe la dunia litakalo fanyika Russia siku si nyingi. Bravoooh!

KIINI

Watamani kujua wamefikaje,wametumia usafiri gani? na watafikia wapi katika nchi ya Russia .Pia walifuzu vipi mpaka wakapata nafasi ya kushiriki kombe la dunia Russia 2018.Tazama hapa uhabarike zaidi kirahisi kwa kubofya  hapa chini katikati ya video hizi katka kitufe chekundu, tazamaaa  video karibu popote pale ulipo.




HITIMISHO

Hao ndio Iran  katika  kuelekea kuanza kwa kombe la dunia Russia 2018 .Usikose kutembelea blog hii kufuatilia kila siku habari moto moto kuhusu michezo,masomo ya sekondari kwa njia ya video yaani ya arts na sayansi bila kusahau habari za vyuo vikuu.

Maoni