FAHAMU WALIOCHAGULIWA JKT AWAMU YA PILI 2018

UTANGULIZI

Nani kachaguliwa tena JKT kwa awamu ya pili ,Je, mimi nimoau simo?.Daah! aiiii! jamaani! ni miongoni mwa maswali ambayo unayofikiria sana mmh!.Yeah! najua wawaza mengi fuatana nami kufahamu ukweli wa jambo hili...

KIINI

Majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kwa mujibu wa sheria sasa yametoka na ndio habari ya mjini.Kujua kama umechaguliwa ama la!.Ni rahisi sana fanya hatua hizi:-
  1. Nenda kwenye search engine yaani google, opera, fire fox,safari n.k
  2. Chapa http://www.jkt.go.tz
  3. Kisha angalia walipo andika majina ya wanafunzi waliochaguliwa jkt awamu ya pili kwenye matangazo
  4. Chagua kambi moja baada ya mengine ukiiangalia jina la shule mpaka utakapooana jina lako
  5. Kumbuka si wote waliochaguliwa kwa hiyo angalia kwa umakini mpaka utakapofanikiwa kuona jina husika

HITIMISHO

JKT ni muhimu sana kwa kijana mzalendo wa taifa,mchapa kazi ,hodari ni lazima ushiriki kwa mujibu wa sheria.Kwa kufahamu haya na mengine usikose kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi.

Maoni