# FAHAMU NAMNA GERMANY ILIVYOFANIKIWA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018

UTANGULIZI

Germany, Germany kamwe si jina geni katika ulimwengu wa soka duniani katika karne hii tuliyonayo ya sayansi na teknolojia.Kwa ufupi Germany ni timu kubwa sana na ni maarufu katika ulingo wa soka.

KIINI

Yapendeza ukafahamu namna ambavyo waliweza kushinda na kufanikiwa kushiriki kombe la dunia. Magoli 43 yawafanya wafanikiwe kushiriki kombe la dunia Russia 2018 .Shuhudia kupitia video hii karibu utazame ubabe wao katika soka bofya kitufe chekundu kujionea kilaini........


HITIMISHO

Germany hakika ni miongoni mwa timu zinazotarajiwa kuleta ushindani hasa katika kuwania taji la kombe la dunia linalofanyika Russia mwaka 2018 mwezi huu wa Juni. Kwa upande wako wa semaje?.Subscribe na kutembelea Blog hii kwa taarifa mpya kila siku tembelea blog hii.

Maoni