Bravo!!!!! Sweden Score 3 v/s Mexco 0



Hayawi! hayawi! sasa yamekuwa  mpaka mpira unaisha sasa Sweden yaibuka kidedea dhidi ya hasimu wake wa leo katika mechi ya mwisho ya kufuzu hatua nyingine ya 16 Bora. Sweden yashinda magoli 3 na Mexico 0

Kamwe endelea kufuatilia matokeo ya mechi mbali mbali za kombe la dunia hapa hapa katika blog hii.Dont miss it.

Maoni