# ARTS SUBJECT@ HISTORY - JE,UMESHAONA MABOMU YA NAGASAKI NA HIROSHIMA?


UTANGULIZI

Katika mfululizo wa video za historia form 4 ningependa kukushirikisha juu ya mabomu yaliyotupwa Nagasaki na Hiroshima  .Swali langu kwako je,umeshashuhudia ?.Au umebakia kusoma tu kinatharia ?.Mmmh! leo nitakufundisha kwa kutumia video twende pamoja karibu.

KIINI

Mubashara waweza tazama video na kujifunza kama ifuatavyo kwa kubofya kitufe chekundu cha kati ili kutazama karibu......






HITIMISHO

 Umeona athari,namna ilivyotokea rafiki?.Usikose kutembelea blog hii kwa video za masomo kama hizi karibu.....


Maoni