# ARTS @ HISTORY FORM 4- SECOND WORLD WAR


UTANGULIZI

Heloo!  karibu tena katika mfululizo wa kujifunza  masomo kwa kutumia video.Tafuta sehemu nzuri ukae ili upate jifunza na uelimike kuhusu vita ya pili ya dunia. Rafiki waweza jiuliza vita ya pili ni nini?.Naam ! ni vita inayokutanisha pande mbili hasimu duniani yaani "Axis power" na '' Allied power''  na vita hii inatokea mnamo mwaka 1939 mpaka mwaka 1945.Ambatana nami  ili ufahamu zaidi..........

KIINI 

Pata kujifunza vita ya pili ya dunia yaani lini ilianza?,wahusika ni waakinani?, je,ilisababishwa nani? ,pia athari yake ni ipi?.Kujifunza yote haya tumia video hii hapo chini kwa kubofya  katika kitufe chekundu katika video hii hapo katikati. Endelea kujifunza.........


HITIMISHO

Woow! mpendwa umeshudia mwenyewe ,kipi umejifunza? .Siku zote usikubali kupitwa kuona video nzuri za masomo kama hizi katika elimu.Tembelea blog hii uelimike.Toa maoni

Maoni