# ARTS @ GEOGRAPHY- SHUHUDIA VIDEO YA JINSI VOLCANO INAVYOTOKEA

UTANGULIZI

Volcano ni nini mpendwa rafiki? Umejiuliza ni namna gani hutokea?. Waooh leo nitakufundisha ni jinsi gani hutokea kwa video na si kinadharia .Usipitwe karibu nikufundishe...

KIINI

Volcano ni janga la asili ambalo linazikumba baadhi ya nchi duniani.Mimi ninazifahamu hizo nchi wewe je, wazijua?. Wow! ni muda muafaka wa kujifunza namna volcano hutokea au kulipuka.Kaa chini utazame uelimike.Bofya hapo kwenye kitufe chekundu kutazama  aiyaah kazi kwako kutazama......




HITIMISHO

Well! usipitwe kamwe kujifunza masomo yote ya darasani kwa video tembelea bog hii.Swali langu je umeelewa volcano ni nini?.Toa maoni karibu sana.

Maoni