PATA MWONGOZO SAHIHI KWA WAOMBAJI MKOPO WA CHUO 2018/2019



UTANGULIZI
Je, wewe wafahamu mwongozo mpya kwa waomba mikopo kwa elimu ya juu Tanzania?.Najua utakuwa na majibu mengi katika kichwa chako.Ondoa hofu mimi nipo kukusaidia kuondoa habari hasi kuhusu uombaji mikopo kwa elimu ya juu yaani vyuo vikuu Tanzania.Usiondoke fuatana nami hapa chini:-
KIINI.
Katika mwongozo mwombajia anapaswa kuzingatia yafuatayo:-
  1. Sifa za jumla za mwombaji.
  2. Makundi ya programmu.
  3. Vipengele vya utoaji mikopo kama vile gharama ya chakula na maradhi,utafiti,mafunzo kwa vitendo,Ada na Vitabu.
  4. Jinsi ya kupata kuomba mikopo
  5. Urejeshaji mikopo na kadhalika.
Kwa kudownload au kupakua pakua au down load hapa https://www.heslb.go.tz

HITIMISHO
Soma kwa umakini mwongozo huu ili kupata taarifa sahihi kuhusu uombaji mikopo.Nashukuru kwa kutembelea somakigitali.blogspot.com karibu saaaana.


Chanzo: heslb. 

Maoni